Mwanamume na mwanamke wamerudi bungeni kwenye mamlaka mpya

Pelagie akiwa na wenzake waliowahi kuchaguliwa kwa mpito akiwa na wenzake

Wabunge kwa majina ya Jean Damescene Murara na Marie Pelagie Rutijanwa waliokuwa kwenye orodha ya RPF ya watu watakaokuwa wabunge kwenye nafasi ya 51 na 52 kama inavyonekana kwenye tangazo la tume ya uchaguzi nchini.

Tangazo rasmi la tume ya uchaguzi

Mbunge Pelagie anatoka wilaya ya Nyamasheke,mkoa wa magharibi na mbunge Murara ni wa wilaya ya Ruhango,mkoa wa kusini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wabunge wengine ni Theogene Rusanganwa,Agnes Nyirabagenzi na Moniqe Mukakarera.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina