kwamamaza 7

Rwanda:Watakao wania ugombea wa urais hawakubaliwi kuomba raia pesa-NEC

0

Kituo cha nchi kinachohusika na uchaguzi (NEC) kimetangaza kwamba hakuna anaye kubaliwa kuomba raia pesa ili aweze fanya uhamasishaji za ugombea kiti ya utawala wa nchi unao tarajiwa mwezi Agasti 2017.

NEC husema kwamba kuna majukumu ya serikali kwa kuwasaidia kipesa, watakao wania katika mabunge hata na utawala wa nchi.

Ila husema kwamba pesa hizo hazitolewi kabla ya uchaguzi na mgombea hupewa baadae na inamuomba kuwa amepata sauti zipatazo 5%.

Katibu tendaji wa NEC, Charles Munyaneza, alisema kuwa waliamua kusaidia kipeswa wakiwa na mpango wa kuongoa zagara zagara katika uchaguzi.

Eti: “hayo huwa katika nchi moja moja, unaweza kuta mgombea hata anajua kwamba atapata 1%, wengine wakiwa na lengo la kupata pesa, mara nyingine unasikia kwa dakika ya mwisho mgombea hujiondoa baada ya kupata pesa”.

Wakati kituo hicho husema kwamba hakuna mgombea anaye ruhusiwa kuomba raia pesa, ila katika vyama vya siasa yawezekana wakati mashabiki wanasaidia chama chao hata katika mambo mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

NEC huomba vyama vya siasa kuhamasishia mashabiki wao kushiriki maandalizi ya uchaguzi kama kujiandisha kwenye orodha ya uchaguzi.

Uchaguzi mwenyewe wa urais unatarajiwa tarehe tatu na nne Agasti 2017.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.