Wanawake watano na mwanamume wameonekana kwa mara ya kwanza kama mawaziri kwenye katika serikali mpya nchini Rwanda.

Mwa wanawake, mawaziri mpya hawa ni Francine Tumushime(Waziri wa ardhi na misitu),Marie Solange Kayisire(waziri wa kazi za mikutano ya mawaziri),Jeanne d’Arc Debonheur(Waziri wa wakimbizi na majanga),Rwanyindo Kayirangwa Fanfan  (Waziri wa wafanyakazi wa serikali na kazi) kisha Rosemary Mbabazi (Waziri wa vijana).

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwanamume ni Vincent Munyeshayaka aliyekuwa katibu hali na kugeuka waziri kamili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na hayo, Rwanda imesisitiza usawa wa jinsia kwa kuwa 64% za wanawake katika bunge.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina