Swahili
Home » Rwanda:Wanausalama waingia ndani ya kambi ya Kiziba kuwakamata wanaotuhumiwa kuwa chanzo cha maandamano
HABARI

Rwanda:Wanausalama waingia ndani ya kambi ya Kiziba kuwakamata wanaotuhumiwa kuwa chanzo cha maandamano

Wanausalama wa Rwanda jumatano asubuhi waliingia ndani ya kambi ya wakimbizi asili  ya DR Congo ambako lengo ni kuwakamata wakimbizi ambao wanatuhumiwa kuwa chanzo cha maandamano mwezi February 2108.

Taaruifa za The EastAfrican kutoka BBC ni kwamba jambo hili limehofisha wengi mwa wakimbizi na kuwa baadhi ya hawa viongozi wa kambi watakamatwa juu ya kuanzisha maandamano na kudharau sheria za Rwanda.

Hili ni baada ya miezi miwili ambapo wakimbizi waliandamana kwenye ofisi kuu ya UNHCR nchini  Rwanda huko magharibi mji9ni Karongi juu ya kuishi katika hali mbaya.

Ikumbukwe kwamba wakimbizi 11 walifariki na 80 wakajeruhiwa wakati wa maandamano.

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com