Swahili
HABARI HABARI MPYA

Rwanda:Wanafunzi hawakubaliani na chuo cha Rwanda kwa kuongeza karo

Wanafunzi wa chuo cha Rwanda (UR) wametangaza kwamba hawakubaliani na uamuzi wa  viongozi wa chuo baada ya kuongeza karo.

Haya ni baada ya kuongeza karo kwa wanafunzi wa sayansi kama vile ujenzi,tekinolgia,uganga na mengineyo kuwa watalipa miliyoni frw 1.5 badala ya frw 600.000

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa hiyo,wanafunzi wameleza kwamba uamuzi huu ni wa ghafla na kuwa siyo rahisi kutafuta fedha hizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Familia yangu imeamua nianze kusoma katika chuo binafsi” amesema Claude Maniriho aliyekuwa akisoma mwaka wanne,idhaa ya teknolojia kwenye UR.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi makamu kwa wajibu wa masomo na utafiti,Prof.Nelson Ijumba ameleza kuwa kuongeza karo ina umuhimu wa kutilia mkazo ubora wa elimu na kuwa idha hizi zinahitaji mambo ghali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com