kwamamaza 7

Rwanda:Wakazi  wanyoshea kidole wafanyakazi wa mahakama kuwa chanzo cha hasara wakati wa mnada

0

Wakazi na mashilika yasiyotegemea serikali wameshtaki wafanyakazi wa mahakama  kuwa chanzo cha hasara wakati wa mnada.

Wakazi wa wilaya ya Rubavu wamemuambia ‘ombudsman’,Anastase Murekezi kuwa wafanyakazi wa mahakama hupunguza bei ya mali yao hupunguzwa  mno jambo linalowafanya kufikiri kuwa kuna rushwa katika jambo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao alisema kuwa mfanyakazi wa mahakama kwa jina la Roger David Munyaburanga aliuza kwa mnada jengo lake lenye bei frw miliyoni 500 kwa frw miliyoni 60 tu.

Afisa wa Transparency Rwanda wa wilaya ya Rubavu,Leonard Gasana ametangazia VOA kuwa haina budi kutilia mkazo kuweka bei ya mali itakayouzwa kwa mnada  kinyume na kutoa bei ndogo kwa kuwa inaonekana kama inadhamiria  kusababisha hasara kwa wakazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi wa baraza la wafanyakazi wa mahakama,Me Vedaste Habimana ameleza kuwa haiwezekani kutia bei ya kuanzia wakati wa mnada na kuwa haiwezekani mfanyakazi wa mahakama kutia bei ndogo kwa kuwa yeye huwa si mshiriki wa mnada.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu ameongeza kuwa hakuna wasiwasi kwa kuwa mmliki wa mali inayouzwa kwa mnada ana haki ya kushaki mahakamani kama anaona mnada ulifanyika kinyume na sheria.

Haya ni baada ya wakazi nchini kulalamikia hasara kutoka  mnada.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.