??????????????????????????????????????????????????????????

Baada ya taarifa zilizoenea kwamba Waziri wa miundo mbinu,James Musoni alikuwa akifanya ngono na mwanamke Immaculee Kayitesi,kumejulikana vingozi wengine ambao wanatuhumiwa uhusiano na tabia hii.

Kwanza kuna mwanamume kwa jina la Peter Rwema.Huyu alikuwa mkurugenzi wa kamati ya taasisi za mali ndogo(AMIR). Huyu alishtakiwa mahakamani kumbaka msichana wa miaka 28 walipokuwa wilayani Karongi kwenye shghuli za kazi.

Kwa haya mahakama ilmuhukumu kufungwa miaka mitanu ila kesi hii ilizusha zilizala kwa kuwa wengi walikuwa wakisema kwamba huyu msichana ni mtu mzima ambaye alimuangusha mtegoni Peter Rwema.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwingine ni David Livingston Mugisha.Huyu alikuwa Afisa kwa wajibu wa mambo ya ardhi wilayani Nyagatare.Alishtakiwa kumuomba mwanamke rushwa husika na kufanya mapenzi kupitia ujumbe aliomtumia kwenye simu ya mikononi ili kumpa huduma.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ofisi kuu ya kupambana na Rushwa ilieleza kwamba hii ilikuwa mala ya kwanza kutatua kesi ya namna hii.

Haya majina yanajiunga na viongozi wengine barani Afrika kama aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini,Jacob Zuma na wengine.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.