kwamamaza 7

Rwanda:Tume ya kutetea haki za binadamu yapiga marufuku mashtaka ya Dk.Leon Mugesera

0

Tume ya kutetea haki za binadamu imepiga marufuku mashtaka ya Dk.Leon Mugesera ya kuwa wachungaji wa gereza wanamuzuia kuikuta familia yake na kuwa anakataliwa haki za kutibiwa.

 Tume hii kupitia upelelezi wake imetangaza kwamba mashtaka haya ni uongo mtupu.Kupitia tangazo lake imeeleza  kwamba gereza hii inafuatilia sheria za wafungwa.

Tangazo hili linasema kwamba Dk.Mugesera anaishi katika hali kama ya wafungwa wengine bila ubaguzi wowote kinyume na mashtaka yake kuwa alikataliwa kumkuta daktari wake mala nane tangu Machi mwaka 2016.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dk.Leon Mugesera alifungwa kwenye gereza ya kimataifa ya Nyanza baada ya kufungwa maisha jela juu ya kushiriki  katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Bonyeza BWIZA TV kupata habari  na nyimbo mpya

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.