kwamamaza 7

Rwanda:Tume ya kutetea haki za binadamu lapiga marufuku  maudhui ya ripoti ya HRW kwa jina la ‘Thieve must be killed’

0

Tume ya kutetea haki za binadamu nchini Rwanda limepiga marufuku mashtaka ya shirika la kutetea haki za binadamu,HRW ya ripoti yake kwa jina ‘Thieves must be killed’ inayosema kuwa wanausalama waliwaua watu 37 waliokuwa wakituhumiwa wizi.

Mkurugenzi wa Tume ya kutetea haki za binadamunchini Rwanda,Madeleine Nirere

Mkurugenzi wa Tume hii nchini,Madeleine Nirere ameleza kuwa baadhi ya maudhui ya ripoti hii ni uongo kwa kuwa baadhi yao walihamia wilaya nyingine na nchi jirani kama Uganda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia kiongozi huyu amesema kuwa kuna watu waliouawa na wakazi na walinzi wa usalama ila haikuwa amri ya serikali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pomoja na haya,tume hii imeonyesha watu hai wakiwemo Alphonse Majyambere waliotangazwa na ripoti hii kuwa walifariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa taarifa za VOA,Tume hii imetangaza kuwa mashtaka haya ni uwong’o na kuwa yanalingana na ushahidi wa mtu mmoja na kuwa kuna watu sita waliokufa baada ya kuzamia ziwani Kivu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mala nyingine serikali ya Rwanda hukana ripoti za shirika la haki za binadamu kwa kusema kuwa ni uongo na kuwa zinahusudia kuudhi serikali ya Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.