Swahili
HABARI MPYA

Rwanda:Sikukuu ya kufikia habari yakuta utangazaji katika hali ya umaskini na vikwazo vingine

Skikukuu ya kimataifa ya kufikia habari imekuta utangazaji nchini Rwanda katika hali ya umaskini,wasiwasi kubwa kwenye ufikiaji wa habari nchini.

Mbali na sheria 04/2013 husika na ufikiaji wa habari linalodumu miaka minne,umaskini katika sekta ya utangazaji ni kikwazo kikubwa kinachosababisha kufunga milango kwa baadhi ya vyombo vya habari,kutoa habari za karibu na makao,ripoti za mada sawa na rushwa na mengineyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,Kuna ukiukaji wa sheria 04/2013 kwa viongozi ambao wanagoma kutoa habari hasa benki,shilika,shule binafsi kampuni za bima ya afya na kadhalika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa ujumla inaonekana kuwa viongozi hawana budi kufundiswa na kuhamasishwa kurahisisha ufikivu wa habari.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com