kwamamaza 7

Rwanda:Shirika la maji na usafi,WASAC kueleza ana kwa ana bungeni kuhusu matumizi ya mali ya umma

0

Shilika la maji na usafi nchini,WASAC limekaribishwa bungeni na kamati ya mali ya umma ,PAC leo ili kujibu maswali husika  na matumizi ya mali ya umma kulingana na na ripoti 2016/2017 ya mkaguzi mkuu.

Mkurugenzi wa PAC,Juvenal Nkusi

Kulingana na taarifa za The newtimes,mkurugenzi wa PAC,Juvenal Nkusi ameleza kuwa kusikilizwa huku kunadhamiria kujua kwamba kulitokea mabadiliko baada ya ya ripoti ya mkaguzi mkuu kutolewa na kujua wenye hatia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Lengo letu ni kupata majibu ya maswali haya na kujua nani chanzo cha hasara”ameleza Juvenal Nkusi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi wa PAC ameongeza kwamba kusikilizwa huku kunahusu diwani kumi na wawili na wakurugenzi wa bodi kuu za serikali kumi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

WASAC ni baadhi ya shilika zinazotumia ovyo mali ya umma kulingana na ripoti za zamani za mkaguzi mkuu wa mali ya umma na haya ni baada ya  kufunga jela aliyekuwa mkurugenzi wake,James Sano  juu ya ubadhirifu na rushwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.