kwamamaza 7

Rwanda:Sheria mpya ya kuadhibu mtangazaji mwenye hatia ya kumpaka masizi rais yatolewa

0

Wabunge wamekubali sheria mpya husika na kuadhibu watangazaji watakaokuwa na hatia ya kumpaka masizi rais wa Jamhuri ya Rwanda.

Sheria hii inafafanua kwamba mtangazaji mwenye hatia hii atadhibiwa kufungwa jela miaka saba na faini ya frw miliyoni saba.

Watangazaji wamesema kuwa hili ni ishara ya kuwa serikali inataka kudhibiti utangazaji.

Akiongea kuhusu hili,katibu mtendaji wa kamati ya watangazaji nchini Rwanda(ARJ),Gonza Muganwa ameleza kuwa  serikali ilionyesha nia husika na jambo hili mbele ya shilika la kutetea binadamu duniani(Universal Periodic Review(UPR).

Huyu ameleza kuwa hakubaliani na sheria hii kwa kuwa unazuia uhuru wa mtangazaji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa bodi la watanagazaji huru(RMC),Emmanuel Mugisha ametangaza kuwa hakubalianai na sheria hii kwa kuwa kulikuwa na sheria nyingine ya utangazaji ya kuadhibu kashfa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,sheria iliyokuweko ilikuwa inasema kuwa mtangazaji mwenye hatia ya kashfa kufungwa gerezani miezi sita hadi mwaka mmoja na faini ya miliyoni moja hadi mbili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za The East African zinasema kuwa hili linadhamiria kuboresha kazi za utangazaji nchini.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.