kwamamaza 7

Rwanda:Rais Kagame apongeza waliojitoa mhanga kwa kuikomboa nchi

0

Rais Kagame jana amewashukuru wowote waliotoa mchango katika vita vya kuikomboa Rwanda tarehe mosi Otoba mwaka 1990.

Baadhi ya waliojeruhiwa kwenye mapambano ya vita vya kuiokomboa nchi

Kupitia mtandao wa twitter, Rais Kagame ametangaza kwamba siku kama ile ni kubwa sana katika historia ya Rwanda na kuwa mafanikio yatakuwa bure.

Ujumbe wake Rais Paul Kagame

Miaka 27 imepita,nashukuru wowote waliotoa mchango wao(…)”amesema Rais Kagame.

Rais Kagame mwenyewe ndiye aliyeongoza vita vya kuikomboa Rwanda baada ya Maj.Gen.Fred Gisa Rwigema kuaga dunia baada ya siku moja ya mwanzo wa vita.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Vita hivi vilimalizika baada ya ushindi wa RPA tarehe 4 Julai mnamo mwaka 1994.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.