kwamamaza 7

Rwanda:Nyumba ya bei $miliyoni 20  ya tajiri Rujugiro,UTC yauzwa kwa mnada $miliyoni 8

0

Kampuni ya Kigali Investment Company Ltd (KIC) jana imenunua  kwa mnada nyumba ya kifahari,Union Trade Center(UTC)  ya  tajiri Ayabatwa Tribert Rujugiro $miliyoni 8.

Nyumba ya kifahari,UTC iliyouzwa kwa mnada

Mnada huu umeongozwa na mfanyakazi wa mahakama,Me Vedaste Habimana kwa kueleza sheria na masharti ya mnada huu.

Me Vedaste Habimana akiongoza mnada

Me Vedaste Habimana ametangaza kwamba kampuni ya KIC ndiyo iliyotoa zabuni kubwa kuliko washiriki wengine 11 kwa kutoa rwf 6,877,150,000

KIC wakitoa zabuni yao

 Mnada huu umetokea ili kulipa kodi aliyokwepa kulipa Rujugiro kuanzia mwaka 2007 hadi 2013.

Kwa upande wake,Rujugiro alipozungumza na  radiyo ya sauti ya marekani tarehe 12 Septemba 2017,alieleza kwamba nyumba mtu mwenye hekima hawezi kununua nyumba yake na kuwa serikali ilidhamiria kumpokonya nyumba yake kupitia alichokita”mchezo wa kuigiza wa mnada”.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.