Home HABARI Rwanda:Mzee wa miaka 70 auawa juu ya uhasherati
HABARI - March 5, 2018

Rwanda:Mzee wa miaka 70 auawa juu ya uhasherati

Mzee kwa jina la  Isacar Hassan ambaye ni mkazi wa kijiji cha Mataba,tarafa ya Rubengera wilayani Karongi,magharibi ya Rwanda amepigwa na kuuawa juu ya kufanya ngono na mke wa mwenzake.

Huyu  mzee mwenye amepatikana waziwazi akifanya mapenzi na bi Ntakirutimana mwenye umri wa miaka 30.

Katibu mtendaji wa kijiji cha Mataba,Habumugisha amehakikisha taarifa hizi kwa kueleza kwamba mzee Hassan ameaga dunia baada ya kupigwa na Ntakirutimana.

Huyu kiongozi ameongeza kuwa Hassan ameaga dunia leo tarehe 5 Februari 2018 asubuhi

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine,Kiongozi amelaumu Ntakirutimana kwa kumuadhibu Hassan ila amesisitiza kwamba malehemu alikuwa na tabia ya ngono hata kama alikuwa na wanawake watano.

Ntakirutimana na  bi Ntakirutimana wamefungwa jela kwenye kituo cha polisi cha Rubengera,wilayani Karongi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.