Rwanda imepokea mkutano wa siku mbili kuanzia leo wa kujianda mkutano wa UN kwa wizara za kijeshi husika na mambo ya shirika hili la kulinda amani utakaotokea Vancouver,Canada tarehe 15 Novemba 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Juu ya ajenda ya mkutano huu wa washiriki 100, kunatarajiwa kuhoijana kuhusu namna za kulinda na kuwaokoa wanaohatarini  kwa upesi na kusisitiza usawa wa kijinsia katika mambo ya kulinda usalama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ni mkutano ambao utafuata msingi wa mikutano mingine ya NewYork na London ili kutia kivitendo makubaliano ya Kigali (Kigali Principles).

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina