kwamamaza 7

Rwanda:Miaka ya kusoma chuoni yapunguzwa

0

Kiongozi  makamu wa chuo kikuu cha Rwanda(UR) kwa wajibu wa utafiti na masomo,Prof.Nelson Ijumba ametangaza kuwa miongoni mwa masomo ya chuo yatafundishwa wakati wa miaka mitatu badala ya nne mwaka ujao.

Kiongozi makamu kwa wajibu wa utafiti na masomo wa UR,Prof.Nelson Ijumba(asiye vaa darubini) akizungumza na waziri wa elimu wa zamani,Prof.Silas Lwakabamba

Akizungumza na The newTimes,Prof. Nelson Ijumba ametangaza kuwa wanajumlisha mambo siku hizi na kuwa waligundua kwamba kuna masomo ambayo inawezekana kufundishwa miaka mitatu tu.

Amesema” Kuna masomo yatakayofunzwa miaka mitatu mwaka ujao kama vile sanaa na siyansi za kijaami “.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ameongeza kuwa taarifa hizi hazihusikani na masomo ya ujenzi na uganga na kuwa koleji zitakuwa tano badala ya sita.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.