Swahili
Home » Rwanda:Kutokubaliana kwazuka kati ya uendesha mashtaka na mtuhumiwa wa mauaji ya kimbali kuhusu mawasilano na familia yake.
HABARI MPYA SHERIA SIASA

Rwanda:Kutokubaliana kwazuka kati ya uendesha mashtaka na mtuhumiwa wa mauaji ya kimbali kuhusu mawasilano na familia yake.

Kwa mjibu wa taarifa za BBC,Kutoelewana kumetokea kati ya uendesha mashtaka na mtuhumiwa wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994, Sous-Lieutenant Jean Claude Seyoboka, 51 (EX-FAR) anayesema kwamba alikosa namna ya kuwasiliana na mke na wana wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mtuhumiwa ameleza kwamba anahitaji rukhusa ya kuongea na familia yake ili imtumie fedha za kulipa mwanasheria wake,Albert Nkundabatware na kuwa anahitaji kuwasiliana na shahidi wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uendesha mashtaka umepiga marufuku ombi lake kwa kusema kwamba sababu zake hazitazuia kesi kuendelea na kumkumbusha Seyoboka kwamba yeye ni mfungwa hastahili fadhila hizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Sous-Lieutenant Jean Claude Seyoboka anatuhumiwa kuua na kubaka wanawake alipokuwa akishi mjini Kigali,eneo la Rugenge wakati wa mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com