kwamamaza 7

Rwanda:Kumeanzishwa mpango endelevu wa kusaidia bima ya afya ya ‘mutuelle’

0

Serikali ya Rwanda imetangaza kuanzisha mbinu mpya za kutafuta mali itakoyosaidia bima ya afya kwa jina la ‘mutuelle’.

Bungeni kupitia mkutano wa mawaziri uliongozwa jana na Rais wa Rwanda,Paul Kagame kumeamua kuanzisha mbinu za kutafuta mali itakayosaidia bima ya afya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya wakazi wengi nchini kusikika wakisema kuwa wanakosa  fedha elfu tatu kwa kila mtu za kulipa bima hii na   baadhi ya mashilika ya bima ya afya nchini  kulalamika kuwa fedha za bima ya afya kwa jina la ‘mutuelle’ hazilipi vya kutosha gharama ya uganga wa wakazi,jambo ambalo ni kizuizi cha kutimiza lengo la bima hii.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.