Swahili
HABARI HABARI MPYA

Rwanda:Karo za kusoma chuoni kwa wanasayansi zaongezeka

Karo za kusoma chuo cha Rwanda (UR) zimeongezeka kutoka frw 900 hadi miliyoni 1.5 kwa wanasayansi  kuanzia mwaka  ujao kama ilivyoamua kwenye mkutano wa viongozi wa chuo tarehe 21 Juni 2017.

Tangazo la chuo cha Rwanda kuhusu karo

Kwa mujibu wa tangazo la chuo cha Rwanda kuhusu karo,mabadiliko haya yanawahusu wanaosoma sayansi,tekinologia ujenzi na uganga,wengine wataendelea kulipa frw600,000

[xyz-ihs snippet=”google”]

Karo hizi zitalipwa kupitia awamu tatu:tarehe 5 Octoba 2017,tarehe 5 Januari 2018 na ya mwisho tarehe 30 Aprili 2018.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watakaoshindwa kutimiza haya,hawatarukhusiwa kuhudhuria myihani na mambo mengine kama maktaba.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com