Swahili
Home » Rwanda:Halmashauri kuu ya elimu yashtaki chuo cha Rwanda kufanya mabadiliko kisirisiri
HABARI MPYA SIASA

Rwanda:Halmashauri kuu ya elimu yashtaki chuo cha Rwanda kufanya mabadiliko kisirisiri

Halmashauri ya elimu nchini(HEC) imeshtaki chuo cha Rwanda(UR) kufanya mabadiliko yakiwemo kupunguza na kubadili majina ya koleji na kampasi zake bila kujulisha halmashauri hii.

Barua iliyoituma HEC kwa UR

Kwa mujibu wa barua ya punde si punde ,Mkurugenzi Mtendaji wa HEC,DK.Emmanuel Muvunyi ametangaza kwamba sheria No 01/2017 la tarehe 31 Januari 2017 husika na mfumo wa kazi za shule kuu hasa makala  yake 20 husika na kuanzisha,kufunga,kudoria koleji,idhaa ama taasisi ya utafiti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,UR imeshauriwa kutii mabadiliko yote yaliyotokea kwenye HEC kwa mapito na uamuzi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mkurugenzi mtendaji ameongeza kwamba kuna mabadiliko mengine ambayo UR haikuwasilisha mapema kwenye HEC  kwa mpito na uamuzi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com