kwamamaza 7

Rwanda:“Drones” zimeshindwa kutwaa damu na kuanguka katika ardhi

0

Ndege zisizokua na viongozi (drones) kabla ya siku chache kuanza kutwaa na kusambaza damu mahali tofauti zimeanza kutua ama kuanguka mahali ambapo hapakutayarishwa na raia husema mara moja zakuta mashambani wengine manyumbani.

Raia mumoja ahakikisha kwamba ndege hio huangua mara nyingi, ilianguka katika shamba la wandugu hapo bondeni, wenyeji wakaja na kuinyanyua mikononi, tena ikaanguka kwa jirani yangu Afadhali, tena wakaja wakachukua na tena hivi imeanguka pale pembeni, hivyo hivyo wamechukuwa ndege hio mikononi kama motto kidogo.

Ndege hizi ambazo hazina viongozi (pilotes) zimeletwa na kampuni ya wa Marekani ijulikanayo kwa jina Zipline ili kurahisisha usafirisaji wa damu katika vituo vya uzima.

Uongozi wa Zipline husema kwamba hizo ndege ambazo huanguka hazina hali mbaya ila ilikua kujaribu na kuona kama zaweza simama kuondoka na kutua kirahisi kama vile husema sauti ya Marekani.

Mwezi jana wilayani Muhanga ndipo rais Paul Kagame alihuzuriya kwenye sherehe ya kuanzisha na kuruhusu ndege hizo kuanza kusafirisha damu kama vile raia walifikilira urahisishaji wa kazi hiyo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.