kwamamaza 7

Rwanda:Diane Rwigara,nduguye na mzazi wao wafungwa jela

0

Jumamosi tarehe 23 Septemba 2017 jioni,polisi ya Rwanda ilitangaza kwamba Diane Rwigara na nduguye na mama mzazi wao,Adeline Rwigara wamefugwa gerezani kwenye kituo cha Polisi Remera,mjini Kigali.

Msemaji wa polisi ya Rwanda,ACP Theos Badege ametangaza kwamba familia hii imefungwa kwa kuwa ilidhamiria kuzusha ghasia nchini na kutenda maovu kwa utawala.

[xyz-ihs snippet=”google”]

ACP Theos Badege ameongeza kwamba hawa hawakurahisisha kazi za walinzi wa usalama na kuanza kuzuia upelelezi hasa Diane Rwigara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hizi ni shutuma ambazo zinajiunga na zile ziliizokuwa zikifanyiwa upelelezi ambapo Diane Rwigara anatuhumiwa kutumia hati bandia,ndugu ye Anne na mama yao,Adeline Rwigara kukwepa kodi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.