kwamamaza 7

Rwanda:Chama cha upinzani chaitaka kufunguka kuhusu visa vya kujiuzulu kwa viongozi wa wilaya

0

Chama cha upinzani ‘Democratic Green Party of Rwanda (DGPR)’ imeitaka serikali kutoa jina sahihi la visa vya kujiuzulu kwa viongozi wa wilaya badala ya kutumia maneno yaliotia for a “Ni kwa nia yangu”

Katibu wa DGPR,  Jean Claude Ntezimana ametangazia  Sauti ya Marekani haielewi namna ambavyo nusu ya viongozi wa wilaya kuwa na nia ya kujiuzulu wakati mmoja.

“Haina budi kuchunguza hii nia ya kujiuzulu,kunahitajika jina kamili ,linaloeleweka kuelezea jamii.Wizara ya Utawala inastahili kueleza hili wazi wazi” amesema

“Tunaomba kuchunguza kama kulikuwepo kura kama ilivyo,Je,kulikuwepo mashindano?”ameuliza

Jean Claude Ntezimana amependekeza Viongozi wa ngazi za nchini wanastahili kuelezea wakazi kinagaubaga sababu zinazowafanya kujiuzulu kabla ya utekelezaji wa hili jambo.

“Viongozi wanastahili kuelezea wakazi sababu za kujiuzulu kwao;wanastahili kufunguka waliposhindwa badala ya kusema kuwa ni nia yao kama tulivyozoea”

Huyu kiongozi amesema haya baada ya viongozi wa wilaya sita kujiuzulu mwezi Mei kwa kusema ni nia yao kuondoka madarakani.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com               

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.