Tangazo la bodi kuu kwa wajibu ya mambo yenye faida kwa nchi(RURA) imeweka wazi kwamba kuanzia tarehe 4 Septemba 2017 bei ya bidhaa za mafuta imepanda.

Tangazo la RURA

Yaliyomo ni kwamba liter moja ya petrol inauzwa kwa bei frw 954 kinyume na mwezi wa julai ilipokua ikiuzwa kwa bei frw 933.

[xyz-ihs snippet=”google”]

RURA imethibitisha kuwa mabadiliko haya hayataathiri bei  ya usafirishaji.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina