Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa(YUNA) mwaka 2018 imeweka wazi kwamba  Rwanda inajitokeza kwenye nafasi ya 151 baadhi ya nchi 156 duniani.

Orodha iliyotolewa na YUNA

Ripoti hii imeonyesha kwamba  Rwanda imejitokeza kwenye nafasi sawa na ile ya mwaka uliopita ambayo ni ya sita baadhi ya nchi kumi zisizo na furaha.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Nafasi hii imeifanya Rwanda kujitokeza kwenye nafasi ya nne baadhi ya nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.