Home HABARI MPYA Rwanda yatia saini mkataba utakaorahisisha upatikanaji wa dawa za kansa
HABARI MPYA - KIMATAIFA - November 10, 2017

Rwanda yatia saini mkataba utakaorahisisha upatikanaji wa dawa za kansa

Wizara ya afya imesaini mkataba na shilika kwa jina la ‘Bioventures for Global Health,GVBH ambao utarahisisha upatikanaji wa huduma za uganga wa kansa kwa Wanyarwanda.

Mkataba huu umetiliwa saini katika mkutano wa kujadiliana kuhusu kansa barani Afrika ulioko mjini Kigali.

Pia mkataba huu unatarajiwa kusaidia hospitali ya chuo ya Kigali(CHUK),hospitali ya Kanombe na ofisi ya kutibu ugonjwa wa kansa ya Butaro kupata dawa na vifaa kwa bei ndogo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za The New Times zinasema kwamba mkurugenzi wa BVGH,Jennifer Dent amesema kuwa anafurahia kuanzisha jambo hili nchini Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa upande wa Rwanda,waziri wa afya Diane Gashumba ameleza kwamba jambo muhimu kwenye mkataba huu ni kuwa hospitali zitapata dawa zinazohitajika kwa wagonjwa kwa bei ndogo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huu ni mkataba wa pili amabao Rwanda imetia saini katika mkutano huu baada ya kusaini mkataba na shule la uganga la Havard wa kuzoeza Wanyarwanda kutibu Kansa jumatatu iliyopita.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.