kwamamaza 7

Rwanda yatangaza mwaka wa mwisho wa hali ya ukimbizi

0

Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa tarehe 31 Disemba 2017 ndiyo mwisho hali ya ukimbizi kwa raia wa Rwanda waliokimbilia nchini mbalimbali.

Afisa kwa wajibu wa wakimbizi kwenye wizara ya wakimbizi na majanga,Jean Claude Rwahama ametangazia VOA kuwa huu ni uamuzi uliotolewa na shilika la kimataifa la kuhudhumia wakimbizi,UNHCR baada ya uchunguzi wake kuhusu lililowafanya Wanyarwanda kukimbia kama vile uhaba usalama na mengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Afisa huyu amesema kuwa takwimu za UNHCR mwaka 2010 zilieleza kwamba kuna wakimbizi asili ya Rwanda maelfu 70 na kuwa wakimbizi maelfu 50 walisha rudia nchini ila amesema kuwa DR Congo iliwajulisha kuwa kuna maelfu 300 ya wakimbizi asili ya Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia amenena kuwa uamuzi huu unamaanisha kwamba kuanzia mwaka ujao hakutakuwa Mnyarwanda atakayehudhumiwa lolote na nchi aliyokimbilia hata na UNHCR.

Takwimu zinaonyesha kuwa tangu  wakimbizi asili ya Rwanda miliyoni 3.5 walirudi nchini.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.