kwamamaza 7

Rwanda yapigwa marufuku kuwakaribisha wahamiaji kutoka Israel

0

Serikali ya Israel jana tareheLta ya Israel  4 Aprili 2018 imejulisha Mahakama kuu kuwa ingali kutafatuta nchi nyingine ya kukaribisha wahamiaji kutoka Afrika.

Taarifa za Jerusalem Post zinasema kwamba nchi inayofikiriwa ni Uganda. Kwa hili,Israel imewaachia huru wahamaiji 58 waliofungwa gerezani Sharonim,jangwani Negevu juu ya kugoma kuenda nchini Rwanda ambako walisema kuwa vizuri kufungwa badaka ya kuenda Rwanda.

Nchi hii imeeleza mjumbe wake ameisha wasili nchi itakayowakaribisha kuchunguza kama mahitaji yaliyotolewa na mahakama kuu yanapatikana huko.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia Israel imetangaza haikufafanua kwa nini Rwanda imepigwa marufuku kutokana na kuwa habari za utafiti uliofanywa nchini Rwanda husika na uwezo wakuwakaribisha wahamiaji ni  suala la mambo ya nje.Hata hivyo, imefichua vyombo vya habari vilifichua  baadhi ya hizi sababu na kuwa mengi zaidi ya tajulikana leo tarehe 5 Aprili 2018

Hii serikali imesisitiza itaendelea kuwachia huru wahamiaji wengine waliofungwa na kutega masikio waliopelekwa nchini Rwanda bila kupata bahati ya kuchagua nchi ya pili.

Haya ni baada ya Waziri wa Israel,Benjamin Netanyahu juma tatu wiki hii kupitia facebook kusema kuwa Rwanda imeamua kutowakaribisha wahamiaji kutokana na shinikizo la Umoja wa Ulaya(EU) na shilika la New Israel Fund

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ikumbukwe kwamba mahakama kuu ya Israel iliwahi kutangaza Rwanda haina mahitaji kamili ya kuwakaribisha wahamiaji. Kwa upande mwingine,Rwanda ilitangaza iko tayari kuwakaribisha wahamiaji wakati ambapo kunafuatiliwa sheria za kimataifa,jambo ambalo wapinzani wake walikanusha mno.

Israel inatarajia kuwatuma  wahamiaji maelfu 16

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.