Swahili
Home » Rwanda yapiga marufuku bidhaa za maziwa asili ya Ufaransa
KIMATAIFA

Rwanda yapiga marufuku bidhaa za maziwa asili ya Ufaransa

Waziri wa afya,Dk. Diane Gashumba

Serikali ya Rwanda imepiga marufuku ufanyabiashara ya bidhaa za maziwa ya watoto kutoka Ufaransa.Hili ni baada ya ugunduzi kwamba haya maziwa yanamiliki maambukizi.

Wizara ya afya jana imeonya Wanyarwanda kutotumia hizi bidhaa za kampuni Lactalis kwa kuwa inatarika kwamba kuna bacteria ya ‘salmonera’ ndani ya bidhaa hizi.

Waziri wa afya,Dk.Diane Gashumba ameeleza kwamba wachuuzi wote wa bidhaa hizi hawana budi kukoma uuzaji na kuwa uagizaji wake nchini Rwanda umepigwa marufuku.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna taarifa kwamba dalili za mambukizi ya salmonera hujitokeza baada ya saa 12-72 za kula chakula chenye maambukizi.Dalili hizi ni kama vile kuumia tumboni,joto,kipindupindu na mala nyingine kutapika na nyingine.

Hili ni baada ya watoto 30 nchini Ufaransa kuambukizwa salmonera na bidhaa hizi. Kwa hiyo,Lactalis imewataka watu kurudisha bidhaa miliyoni 12 kutoka nchi 83.

Bonyeza BWIZA TV kupata habari  na nyimbo mpya

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com