kwamamaza 7

Rwanda yapata nafasi za mwisho kuhusu uhuru wa utangazaji

0

Ripoti ya watangazaji waio na mipaka imeiweka Rwanda kwenye nafasi ya 155 kwa nchi 188 zenye uhuru wa watangazaji mwaka 2018.

Mnamo mwaka 2017, Rwanda ilikuwa kwenye nafasi ya 156.

Ripoti hii imeshtaki Rwanda kuwanyima watangazaji kutoka nchi za nje vitambulisho vya kufanyia kazi yao nchini humo na kuwakataza watangazaji kutangaza habari fulani ama wenyewe kujikataza.

Kwa upande wa Rwanda, Mkurugenzi wa Kamati Kuu ya Utangazaji, Peacemaker Mbungiramihigo  amelaani ripoti hii kwa kusema haifuati kanuni za utafiti bali ni hisia za watu wenyewe.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.