kwamamaza 7

Rwanda yaanza kutafuta mashua ya Ujerumani iliyozikwa karibu ziwa Kivu

0

Rwanda imeanza kutafuta mabaki ya mashua ya kijeshi ya Wajerumani iliyozikwa  kijijini  Sure,magharibi mwa nchi mnamo mwaka 1914 kwa hiari  karibu pwani ziwa Kivu mahali ambapo hapajatambulika.

Mkurugenzi wa bodi kuu ya makumbusho,Richard Masozera ametangaza kuwa wanatafuta mashua hii kwani upatikanaji wake utasaidia mno kueleza historia ya vita vya uimwengu nchini Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wakazi wametangazia KT Press kwamba haitakuwa rahisi kupata mashua hii kwa kuwa mmomonyoko wa udongo ulimarisha mashua hii  na kuwa Wajerumani walioyizika walishindwa kuyipata mwaka 1980.

Mkazi wa kijiji cha Sure,Onesme Bimenyimana akionyesha palipozikwa mashua ya Ujerumani

Pamoja na hayo,mashua hii ilizikwa wakati wavita vya ulimwengu wakati ambapo mashambulizi ya Wabelijiji yalikuwa kali kwa Wajerumani waliokuwa wakoloni wa Rwanda.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.