kwamamaza 7

Rwanda kutuma meli ya angani mwaka 2020

0

Rwanda kwa ushirikiano na Japani imeanzisha mradi wa kutuma meli ya angani kwa kuboresha mawasiliano,utafiti,upelelezi,kujikinga majanga na mengine.

Mradi huu umeanzishwa baada ya Rwanda  kati ya mwezi Disemba 2017 kuwatuma Wa Wanyarwanda wanne nchini Japani ili kujifunza kivitendo mambo ya anga na ya meli za angani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za Agence Afrque zinaeleza kwamba hizi zilihakikishwa na Rwanda baada ya matajiri 12 kutoka Japani kuitembelea na kuzungumza kuhusu utekelezaji wa ndoto hizi mwaka 2020.

Rwanda itakuwa nchi ya nne barani Afrika kutuma meli ya angani baada ya Angola,Etiopia na Kenya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.