Waziri wa Afya, Dkt. Diane Gashumba amepiga marufuku ripoti kwamba mgonjwa wa Ebola alifika nchini Rwanda kabla ya kufariki.

Reuters iliripoti kwamba mwanamke alikuja nchini Rwanda baada ya kutoka nchini Uganda.

“ Tunataka kuwambia kwamba hizo ni fununu, lakini msilegeze, mpige simu 110  mkipata dalili yake.”

Wizara imesema hakuna kesi ya Ebola nchini na kulianzishwa mipango maalumu ya kupambana na ugonjwa huo.

Wananchi pia wameshauriwa kutokwenda bila mpango nchini DRC.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.