kwamamaza 7

 Rwanda yakana  kuhudhuria michuano  ya EALA nchini Burundi

0

Rwanda haikuonekana katika nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki ambazo zimehudhuria michezo EALA nchini Burundi iliyoanza tarehe mosi Disemba 2018.

Msemaji wa EALA,  Bodi Odiko amehakikisha Rwanda haikuonekana nchini Burundi kwa ajili yah ii michuano itakayomaliza siku 10.

“ Rwanda haiko nchini Burundi.” Odiko ameambia  Chimpreports

Odiko amesema Rwanda ilitangaza haitaonekaka nchini Burundi kutokana na kuwa bunge lake lingali katika michuano nchini humo.

Huyu ameongeza Rwanda pekee inaweza kueleza kwa mapana na marefu kuhusu hili suala.

Pamoja na hayo,  Katibu Mkuu wa EALA ambaye ni Mnyarwanda, Martin Ngoga hakuonekana nchini  Burundi ili kuanzisha rasmi hii michuano. Hata hivyo, alimtuma muakirishi wake.

Kwa upande mwingine,Burundi pia ilikataa kuhushiriki katika michuano ya EALA iliyoteokea nchini Rwanda siku zilizopita.

Kwenye michuano hii, kutakuwa michezo ya kandanda, wavu, ya kikapu na mingine.

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.