Swahili
Home » Rwanda yajitokeza nafasi ya pili katika nchi zilizo salama Afrika
HABARI MPYA

Rwanda yajitokeza nafasi ya pili katika nchi zilizo salama Afrika

Shilika la Gallup Law and Order limetoa ripoti kwamba Rwanda inajitokeza kwenye nafasi ya pili katika nchi zilizo salama barani Afrika.

Rwanda inaifuata Misri kisha Visiwa vya Mauritius. Duniani ya kuanza ni Norway, Iceland na Finland

Nafasi hizi zimetolewa kwa kuchunguza hali ya usalama wa mtu pekee, kisa chake kulingana na uhalifu pia na  ufuatiliaji wa sheria.

Rwanda ina nafasi ya 40 duniani.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com