Swahili
Home » Rwanda yainyuka Equatorial Guinea
BURURUDANI

Rwanda yainyuka Equatorial Guinea

Timu ya Rwanda,Amavubi Stars

Timu ya Rwanda Amavubi imeshinda goli moja kwa nunge timu ya Equatoriale Guinea kwenye michuano ya CHAN 2018.

Gori la Rwanda limefungwa na mchezaji Manzi Thierry dakika la 67

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ushindi huu umeiwezesha Rwanda kuongoza kundi la tatu pamoja na Nigeria na alama 4.

Rwanda itacheza na Libya tarehe 23 Januari 2018.

 

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com