kwamamaza 7

Rwanda yagoma kuhudhuria mashindano ya kijeshi nchini Burundi

0

Nchi ya Burundi inajianda kupokea mashindano ya kijeshi na mambo mengine yanayohusiana  na utamaduni kwa Afurika mashariki(EAC) kwa mala ya 11 tarehe 26 Agosti 2017 ambayo Rwanda haikutuma muwakilishi hata mmoja.

Spika wa jeshi la nchi ya Burundi,Col.Gaspard Baratuza

Habari zinazofikia Bwiza.com kwa mujibu wa Ikaze iwacu zinasema kwamba spika wa jeshi la Burundi,Col. Gaspard Baratuza amesema kuwa watu kutoka nchi mbalimbali walianza mazoezi lakini hawajamuona mtu hata mmoja kutoka Rwanda,amesema”Kuanzia  mwezi Februari,maandalizi yaliendelea lakini Rwanda haionekani”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi amendelea kwa kusema kuwa waliwakuta wengi katika mambo mbali mbali kama vile utalii,kwenye makazi yao na pengine lakini hatukumuoana mtu kutoka Rwanda na kuwa hivi kumaanisha kuwa Rwanda haitashiriki katika mashindano haya.Akijibu sababu ya Rwanda kutoshiriki,Cil.Baratuza Gaspard amefafanua kuwa wizara ya wanajeshi la Burundi haistahili kuijbu swali hili na kuongeza kuwa kazi yao muhimu ni kukaribisha waliokuja na kuongeza kwamba Rwanda ndiyo yenye hasara ya kutoshiliki kwenye mashindano haya.

Mashindano haya hupokewa na kila nchi ya EAC,mwaka jana Burundi ilikata kuja nchini Rwanda.Tumejaribu kujua maoni ya upande wa jeshi ya Rwanda kupitia spika wake,Brig.Gen.Safari Ferdinand lakini hatukufauru.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.