kwamamaza 7

Rwanda: Wizara ya elimu yaeleza haikuwanyima ‘Equivalent’ wanafunzi waliosoma chuo St. Lawrence nchini Uganda

0

Wizara ya elimu nchini Rwanda (MINEDUC) imeamua kuwanyima ‘Equivalent’ wanafunzi 29 waliosomachuo cha St. Lawrence nchini Uganda.

Waziri wa elimu Dk. Eugene Mutimura na wa Halmashauri Kuu ya Elimu, DK. Emmanuel Muvunyi wameelezea Tume ya Mabunge kwa wajibu wa elimu, utamaduni na Michezo kuwa chuo cha st. Lawrence hakikutimiza mahitaji yote ya mtindo wa Rwanda.

“ Baadhi ya vyuo nchini Uganda havikutimiza mahitaji yote na St. Lwrence ni baadhi ya hivi vyuo ambavyo viliendelea kfundisha vikiwa na vitambulisho vya mpito”  Dk. Muvunyi ameeleza

“Tungali njiani katika EAC kuambatisha haya mambo ili yawe sawa kwa nchi zote” ameongeza

Huyu kiongozi amewataka hawa wanafunzi kujaza mambo fulani ili suala lao lifuatiliwe vilvyo kwa kuwa  chuo chao kingali njiani ya kupata vitambulisho vyote.

Wizara ya elimu imetangaza baadhi ya hawa wanafunzi kuna 16 waliotimiza mahitaji yote na kuwa watapata ‘equivalent’ zao kitakapojibu chuo cha St. Lawrence.

Siasa ya kutoa ‘equivalent’ ilianzishwa ili kupambana na shahada zilizo kinyume na sheria.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.