kwamamaza 7

Rwanda: Wanawake walevi ndio wafanyiwa vurugu na bwana zao

0

Utafiti uliofanyiwa kwa wakaaji ulionyesha kwamba wanawake ambao hunywa pombe nyingi na kulewa ndio wanafanyiwa vurugu sana na bwana zao kuliko wale wasio tumia pombe wala wanaokunywa pombe chache.

Utafiti huo ulifanywa kati ya mwaka wa 2014 na 2015 ulionyesha kwamba wanawake wanao lewa na kupata vurugu ni wapatao 42% wakiwa na wanaume 83 na mwanaume 648 wenye kuwa na wanawake wasiolewa pombe wanaopata vurugu ni 18%.

Mbele ya miezi miwili utafiti huu ufanywe wanawake ambao walikuwa wanalewa ni 27% ndio walipata vurugu na wasiolewa ilikuwa 6%, ilionekana pia kwamba kuna wanaume ambao wavurugwa na wake zao, na wanaogopa sana wake zao siku kwa siku na hawana la kusema nyumbani kwao.

Taarifa husema kwamba watoto ambao walizaliwa wakiona baba zao wakivuruga mama zao, nao pia kuwavuruga wake zao kwa hali ya juu sana.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com,chanzo:izubarirashe

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.