kwamamaza 7

Rwanda: Wanafunzi wa vyuo vilivyofungwa na serikali waomba serikali kuwasaidia kuendelea na masomo yao

0

Wanafunzi waliokuwa wakisoma kwenye vyuo vikuu vitano vilivyofungwa na halmashauri kuu ya elimu(HEC)  wameomba serikali kuwasaidia kuendelea na masomo yao na kupendekeza kuwa serikali haina budi  kulipa hasara waliyopata kama vile karo,muda na mengine.

Dkt. Mugisha,Mkurugenzi wa HEC

Mmoja wao,Peter Muyombano ameleza kuwa alikuwa anakaribia kumaliza masomo yake na kuwa alilipa frw miliyoni mbili na nusu tangu mwaka 2015.

Huyu ametangazia VOA kuwa serikali ingetoa mchango mkubwa wa kuwasaidia wanafunzi waliokuwa wakisoma katika vyuo vilivyofungwa kuendelea masomo yao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Siyo kosa letu,tulikuwa wanafunzi wa vyuo vilivyosajiriwa rasmi na serikali” ameleza Muyombano.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi kwa wajibu wa ubora wa elimu kwenye halmashauri kuu ya elimu,Bw Abdallah Baguma amesema kwamba serikali ingali tayari kuwasaidia kuendelea na masomo yao katika vyuo vya serikali na kuwa wataendelea kuchunguza vyuo vingine visivyo na mahitaji yote ya kuelimisha masomo ya chuoni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Halmashauri kuu ya elimu ilifunga vyuo vitano baadhi ya vyuo kumi vilivyofanyiwa uchunguzi husika na kumiliki mahitaji yote ya kutoa elimu za kiwango cha chuo.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.