kwamamaza 7

Rwanda: Wakimbizi asili ya Burundi watuhumiwa ujambazi

0

Wakazi wa tarafa za karibu na kambi ya wakimbizi asili ya Burundi, Mahama wameweka wazi kuwa na wasiwasi za ujambazi wa Warundi kama vile mazao na kubomoa nyumba zao usiku.

Wakazi wakiwemo wa tarafa  ya Mahama,Nyarubuye,Mpanga na Nyamugari,wilaya ya Kirehe,mashariki mwa nchi ndio ambao wemetangaza kwamba wakimbizi wanaiba mali yao.Mmoja wao,Valentine Mukeshimana amesema kuwa watakuwa na  njaa siku za usoni kutokana na wizi wa mazao yao baada ya kuanzisha kambi ya Mahama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tulikosa pahali pengine pa kuhamia,jambo hili limedumu muda mrefu”Valentine amesema.

Mwenzake Emmanuel Harerimana amehakikisha hili kwa kusema kuwa wanapoteza mali yao kila siku na kuwa viongozi wa kambi hawaadhibu jambo hili.

Diwani wa  kirehe,Gerard Muzungu ameeleza kwamba jambo hili linajulikana na kuwa kulichukuliwa mkakati wa kuadhibu wakimbizi wanaohusika na ujambazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani Gerard Muzungu amesema”Kwa msaada wa viongozi wa mkoa na wizara ya wakimbizi(MIDIMAR) tutalipa fidia wathiriwa,pia tunawahukumu wahalifu hadharani kambini”.

Wakimbizi asili ya Burundi maelfu 55 wanaishi katika kambi ya Mahama tangu mwaka 2015 baada ya migogoro ya kisiasa kuzuka nchini Burundi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.