kwamamaza 7

Rwanda: Wafungwa wapiga mayowe juu ya wingi wao gerezani

0

Wafungwa wa gereza ya Rusizi,mkoani magharibi wameweka wazi kuwa na wasiwasi kutokana na kuwa wanaishi gerezani kwa wingi.

Wafungwa wamefichua hili wakati wa ziara yake ya kikazi wazira wa sheria,Johnston Busingye wilayani Rusizi wiki iliyopita.Hawa wafungwa walitangaza kwamba gereza hii ina uwezo wa kuhudhumu watu 2600 lakini kwa sasa inahudhumu watu 3,248

Kiongozi wa gereza ya Rusizi Supt.Gerald Habimana amekamilisha hili kwa kueleza kwamba kitanda cha watu wawili hulaliwa na watu watatu kufuatia ongezeko la wafungwa kutoka magereza mengine kama vile Kimironko na Nyamagabe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hata hivyo,huyu kiongozi ameeleza kuwa suala hili litatolewa suluhisho wakati ambapo  kazi za ujenzi  wa gereza mpya ya Mageragere itakapomalizika.

Kwa upande mwingine,Waziri wa sheria,Johnston Busingye amewataka kujirekebisha kwani serikali haitaendelea kujenga magereza kwa kuwa si shule,maji ama hospitali ama mambo mengine muhimu kwa umma.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.