Swahili
Home » Rwanda: Viongozi wakamatwa kwa kutuhumiwa rushwa dhidi ya Mechi ya Ivory Coast
HABARI MPYA

Rwanda: Viongozi wakamatwa kwa kutuhumiwa rushwa dhidi ya Mechi ya Ivory Coast

Viongozi wawili wakiwemo  Katibu Mkuu,  Francois Regis  Uwayezu na  mwingine kwa wajibu wa Michuano, Eric Ruhamiriza wamekamatwa kwa tuhuma za kumpa rushwa  refari kwenye mechi ya Rwanda dhidi ya Ivory Coast.

Msemaji  wa Ofisi ya  Upelelezi( RIB),  Modeste  Mbabazi  ameeleza  hawa wanahojiwa kuhusu uhalifu wao.

“ Wamekamatwa jana, wanashtakiwa kutoa rushwa”

Haya ni baada  ya rifari, Jackson Pavaza kusema hawa viongozi walimpa rushwa ya fedha ambazo hakujua idadi yake.

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com