Swahili
Home » Rwanda-Uganda:Wazungumza kulinda majanga wakazi
HABARI KIMATAIFA

Rwanda-Uganda:Wazungumza kulinda majanga wakazi

Rwanda na Uganda wanazungumza namna ya kulinda majanga wakazi wa nchi hizi mbili

Mazungumzo haya yanazingatia mikakati mbalimbali ya kulinda mmonyoko wa ardhi ikiwemo kupanda nyasi na miti na mengine baada ya wakazi wa karibu na mpaka,eneo la Kivuye kukumbwa na majanga ya mvua ha 65, jua kali na mengineyo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa tarafa ya Kivuye,Ignace Mugiraneza ameleza kuwa wanaungana mkono na nchi ya Uganda kupambana na jambo hili.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya majanga yaliyokumba nchini Rwanda mwezi wa Septemba mwaka 2017.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com