kwamamaza 7

Rwanda tayari imepewa ardhi kubwa katika mataifa

0

Mwaka wa 2013 Djibuti ilipatia Rwanda ardhi ipatayo hekta 20 kwenye kivuko cha Djibuti, wakati rais Kagame alifanya tena ziara huko alipewa tena hekta 40, yote ikawa hekta 60.

Isipokuwa hekta 60 ambazo zipo Djibuti, kuna hekta zengine 12 ambazo zipo kwenye kivuko cha Mombasa ila nzia ingali ndefu.

Waziri Musoni James alisema kwamba ziara ya rais Kagame nchini Djibuti tarehe 18 April 2017, Rwanda ilipewa tena ardhi ambayo iliongezeka kwa yenye mwaka wa 2013.

Musoni aliendelea na kusema Djibuti ilipatiya Rwanda ardhi na raia Kagame naye kawapa Djibuti hekta 30 hapa Rwanda.

Maandalizi ni kuwa Rwanda inatarajiya kujemba nyumba katika hio ardhi ya Djibuti kwa manufaa ya Rwanda kwa ajili ya biashara, pia Djibuti nao watajenga katika ardhi yao hapa Rwanda.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwaka 1986 wakati wa utawala wa Daniel Arap Moi, Kenya ilipatia Rwanda ardhi ipatayo hekta 12 karibu ya kivuko cha Mombasa, ila njia ya udongo huo ni ndefu kwa sababu mufanya biashara wa Kenya, Salad Awale anasema ardhi hio ni yake aliyopewa na serikali  mwaka 1986 kwa muda wa miaka 99 na mabishano huendelea.

Huonekana wazi kwamba ardhi hio haijakuwa sehemu ya Rwanda kwa sabau mara nyingi wapo mahakamani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.