Swahili
Home » Rwanda pamoja na Qatar wamesaini mkataba wa ushirikiano
HABARI

Rwanda pamoja na Qatar wamesaini mkataba wa ushirikiano

Rwanda pamoja na Qatar wamesaini mkataba wa ushirikiano kati ya nchi hizo mbili kuhusiana na siasa.

Mkataba huo katiliwa saini jana tarehe 4 Mei 2017 wakiwa Marekani, Rwanda ikiwakilishiwa na katibu wake daima katika kikao cha umoja wa mataifa, balozi Valentine Rugwabiza pamoja na mwakilishi wa Qatar Alya Ahmed S. Al-Thani.

Hatua hio ya ushirikiano kati nchi hizo mbili ni hatua ambayo ilihitajika na wanaamini mafanikio kwa ajili ya raia wa nchi hizo.

Uwasiliano wa Rwanda na Qatar ni mwema kupitia mambo tofauti, polisi wao wakisaidiana kwa kupiganisha dawa za kulevya. Kituo cha ndege cha Qatar Airways huwa na makubaliano na Rwanda kwa ajili wa usafirisaji wa anga.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com