kwamamaza 7

Rwanda pamoja na Israel wamekumbuka mauaji ya kimbari dhidi ya Wayahudi

0

Rwanda, Isiraheli pamoja na umoja wa mataifa wamekumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Wayahudi, na sherehe ilifanyika kwenye kikao cha kumbukumbu Kigali tarehe 14 Februari 2017.

Baada ya kutia maua kwenye kumbukumbu kwa ajili ya kuwaheshimu walio poteza maisha katika mauaji ya Kimbari, Balozi wa Israel nchini Rwanda Belaynesh Zevadia, alisema ya kuwa hakuna hata mmoja atakaye wasahau, kwa sababu kila mmoja yupo na historia hata jamii.

Eti “Hatutasahau ya kuwa mauaji ya Kimbari ni ubovu wa kupita kiasi ambao ulisukuma watu kuua, na yote ilitokana na kutojirekebisha”.

Balozi Zevadia alisema ya kwamba Rwanda na Israel wote walipitia mauaji ya Kimbari, na waliweza kujijenga upya na kuanza safari ya maendeleo.

Aliwashukuru serikali ya Rwanda na viongozi wa kumbukumbu la mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi 1994, kwa kuwa kitendo cha kuwakumbuwa Wayahudi kilipewa usamini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wa wanusurika wa mauaji ya Kimbari, Prof. Daniel Gold, alishuhudia jinsi alivyo okolewa akiwa Lithuania, hakukata tamaa alisonga mbele na aliendelea.

Alirudiria ubovu aliofanyika katika mauaji ya Kimbari, hawakuogopa hata kuwaua watoto karibu miliyoni mbili. Aliwatakia walio nusurika mauaji ya Kimbari dhidi za Watusi kusonga mbele katika maendeleo na kua na maisha mema.

Mauaji ya Kimbari dhidi ya Wayahudi yaliandaliwa na kutiwa katika matendo na wajulikanao kwa kabila la Wanazi wakiongozwa na Hitler na marafiki wao katika vita ya Ulimwengu ya pili na walifariki watu zaidi miliyoni 6 na wapatao 250.000 wakabaki kati hali ya kiwewe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.