kwamamaza 7

Rwanda: Padri afunga ndoa baada ya kuadhibiwa na klezia

0

Padri  Cesar Serinda ameoa baada ya kleziya ya Wakatoliki nchini Rwanda kumpiga marufuku kuendelea na kazi zake za kitume.

Habari zinazozurura  kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, ni kwamba Serinda alioa juma pili iliyopita.

Makamu  Askofu wa Diosisi ya Butare, Mgr Musenyeri Jean Marie Vianney Gahizi, amesema hajajua mengi kuhusu taarifa hizo lakini amehakikisha Padri Serinda alikomeshwa madarakani kutokana na tabia zake za uruka njia.

“ Alikomeshwa mwaka uliopita. Si mala ya kwanza ama ya pili. Nimepokea pcha zake kama anakula kiapo. Lakini siwezi kuhakikisha kwamba ni ukweli. Siwezi kushangaa kwa hilo.” Mgr Gahizi amesema

Gahizi amesema kuwa Serinda alizaa watoto na wanawake wawili.

Kwa sasa, Gahizi hajasema lolote kuhusu tendo lake la kuoa.

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.