kwamamaza 7

Rwanda: NEC inaomba wagombea urais kutofanya kampeni kabla muda

0

Kiongozi wa kituo cha uchaguzi (NEC), Prof Kalisa Mbanda ametangaza ya kwamba wakati Rwanda hutarajiya muda wa uchaguzi wa urais wa jamhuri kwamba mtu haruhusiwi kufanya kampeni ya yule anayemushabikiya kuwa mgombea na muda haujafika.

Alisema hayo tarehe 30 Mach 2017 akiwa pamoja na baraza ya makundi ya vyama vya wanasiasa (NEPO), akiwaambia mashairi kuhusu uchaguzi wa rais wa Jamhuri mwaka wa 2017.

Prof. Mbanda alisema matayarisho ya uchaguzi huenda vema, ila kuna wagombea wamoja ambao huenda katika mashule na kutafuta mashabiki ili kupata saini na muda haujafika, na hapo wanachoka bure kwa matumizi hao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Alijulisha kwamba muda wa kampeni hauja fika, inatarajiwa kama kampeni itaanza tarehe 12 hadi 23 Juni 2017. Kwa hayo mgombea mwenyewe ndiye mhusika wa kampeni na mpaka sasa hakuna wagombea ambao wamejulikana.

Eti “Kampeni hufanywa na mtu mwenyewe au kundi ya watu aliwo wateua tena wakijulikana kuwa ni wafanya kazi wake”.

Katibu mtendaji wa baraza la wanasiasa (NEPO) Munyaneza Charles, alikumbusha kuwa hata wakati wa kupokea barua za wagombea urais haujafika nao itakuwa tangu tarehe 12 hadi 23 Juni 2017.

Eti “Mbele ya tarehe hizo hatupendi kuona mtu akienda sehemu tofauti akisema ni mgombea urasi akiomba saini”, kama vile husema imvahoshya.

Hadi sasa kwenye orodha ya wanaokubaliwa kuchagua rais wa jamhuri mwaka wa 2017, kumeongezeka watu wapatao miliyoni 1,7, mbele walikuwa miliyoni 5,7. Umuhimu wa uchaguzi wa mwaka huu ni kuwa wagombea watafanya hata kampeni kupitia mitandao.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.